Kanisa Katoliki KUBWA KULIKO YOTE TANZANIA, na la tatu kwa ukubwa Afrika, lililopo parokia ya SANU, wilaya ya Mbulu mkoani Manyara - Tanzania. Lilijengwa kati ya mwaka 1990 na 2000. MAELEZO HAYA NI KWA MUJIBU WA , Paroko wa parokia hiyo, Reginald Barre

6426